Eneo hili la kiuchumi maalum huko Morogoro linaloundwa na kampuni ya Tanzania inayojulikana kama Star Infrastructure Development (T) Ltd iliyo na ofisi ya kuu Dar es salaam na wana biashara katika nyanja mbalimbali kama vile mabenki, bima, hoteli, resorts, viwanda, ujenzi nk.